Monday, May 16, 2011

TAZAMA VIJANA HAWA, WANAVYOPIGA GITAA HUKU WAKIIMBA :

Huyu anaitwa Doncher kutoka kundi la 'Weeds Family' lenye maskani yake hapa hapa jijini mwanza, akilicharaza gitaa huku akiimba kwa hisia kali, ingawa alikuwa akiimba nyimbo za wasanii/wanamziki wakubwa Tanzania (Hasa wa Bongo fleva), aliziimba nyimbo hizo kwa ustadi mkubwa kana kwamba ni za kwake, jamaa anajua sana. Raia/wawekezaji changamkieni kifaa hicho cha mziki.

 Doncher akiendeleza zile swagger, sana tu, kamua baabu.

 Daah..! Pale kaaaaaaaati.

Hivi mnakumbuka zile enzi za Soukouss Stars ya miaka ya tisini. Ilikuwa ni bonge la albam ya mziki wa Congo lililobeba mastaa kibao kama Shimita,Luciena Bokilo,Yondo Sister,Balu Canta, na wapiga gitaa kama Nguma Lokito,Lokasa Yambongo na Daliki Moko. Daliki Moko alikuwa ana staili ya upigaji gitaa ambayo kila mtu aliipenda. Kutoka miaka ya tisisni ya albam ile, nimekuja kushuhudia kwa mara nyingine tena kwa macho yangu kutoka kwa jamaa huyu, Doncher wa 'Weeds Family' akilicharaza gitaa bila ya kulitazama likiwa mabegani kwa nyuma. Salute baabu.

 Huyu ni mkali mwingine kutoka kundi la 'Weeds Family', anaitwa Man Popa, naye ni mkali balaa sekta ya ucharazaji gitaa na uimbaji.

 Ndio zeetu.

 Sana tu, ile ile baabu.

 Kundi zima la 'Weeds Family' linawajumuisha vijana sita, wanadada wawili walikuwa bado hawajafika na brazaz wanne kama wanavyoonekana hapo pichani: Waliosimama, ni HB (Mwenye Tshirt ya njano) mwingine ni Gimy Rico. Walioketi ni Man Popa (Aliyekamata gitaa) mwingine ni Doncher.


Sana tu, 'Weeds Family'

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comments'.


2 comments:

  1. I constantly emailed this web site post page to all my friends, as if like to read
    it afterward my contacts will too.

    my web page wagner power painter sprayer (http://modernmethodsmarketing.com/index.php?option=com_blog&view=comments&pid=94665&Itemid=0)

    ReplyDelete
  2. What's up colleagues, how is the whole thing, and what you desire to say concerning this piece of writing, in my view its in fact remarkable designed for me.

    my page; spray painting

    ReplyDelete