Monday, May 16, 2011

MACHAMPION WA FOREVER LIVING PRODUCTS (FLP) - MWANZA WAKIWA KWENYE SEMINAR:

Machampion wa kampuni inayoendesha biashara ya mtandao (Network Marketing) yenye makao makuu yake nchini marekani, Forever Living Products Limited, wakiwa katika mkutano wa kujadili hili na lile ikiwemo kutiana moyo miongoni mwao. Mkutano huo ulifanyika jana tarehe 15 May 2011 katika ukumbi wa 'bustani' ya Lake Hotel jijini Mwanza. Kutoka kushoto (wanaoonekana): Mwenyekiti wa mkutano, Marios Ndyenabo (Manager), Katibu, Mr. Kelvin na dada Judith Molel.


Mr Jack na Ustaadh.

 Judith Molel, Reontius Andrea (Katikati) na mwanachama wa FLP.

 Wanachama wakisubiria kuanza kwa kikao.




 Wanachama.

 Utambulisho wa majina na nafasi uliyonayo katika FLP, ustaadhi akijitambulisha.

 Mr Jack akijitambulisha.




 Dada Judith naye akijitambulisha kwa wanachama.

 Mama naye huuuuyooo, hakubaki nyuma.

 Zamu ya katibu sasa, Mr. Kelvin.

 The Manager himself, Mr Marios Ndyenabo.

 Wakati wa somo sasa, wanachama wote makini kusikiliza.

 Somo linaendelea kwa wanachama wa FLP.


 Mr Reontius Andrea akitoa yake ya moyoni juu ya namna ya kusonga mbele ndani ya FLP.

 Mr Nobert zamu yake.


 Somo linaendelea, sasa ni dada Erica Mwampunga, sera za kutosha hapo.

 Alimalizia Manager, Mr Marios Ndyenabo na hatimaye kufunga mkutano.




Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comments'.

2 comments:

  1. It is really a great and helpful piece of info. I am glad that you just shared this useful info with us.

    Please keep us informed like this. Thanks for sharing.
    My site ... lean muscle x

    ReplyDelete
  2. Just wish to ѕay your аrticle is as astounding.

    The clаritу in yоur рost is simply nіce and і сan assume
    you're an expert on this subject. Well with your permission let me to grab your RSS feed to keep updated with forthcoming post. Thanks a million and please continue the rewarding work.
    My page :: http://ghost4engine.posterous.com

    ReplyDelete