Monday, May 16, 2011

JIJI LA MWANZA LINAVYOONEKANA SIKU ZA WIKI:

Utakumbuka vizuri sana, siku ya jumapili tarehe 15 May 2011, nilipoweka Post inayosema "JIJI LA MWANZA LINAVYOONEKANA WEEK END YA LEO". Huu ni mwendelezo wa mwonekano wa jiji la mwanza kwa siku za kazi katika wiki. Barabara ni ile ile 'Nyerere Road' na jengo linaloonekana pichani ni jengo la CCM Mkoa wa Mwanza, leo tunaona barabara imechangamka ikiwa na watu wengi na magari kadhaa ukilinganisha na hali ilivyokuwa kaika post ya siku ya jumapili.

 Upande wa pili wa barabara mabo ni yale yale, msongamano wa watu na magari umeongezeka maradufu.


Cheki hii, safi sana, watu hawalali siku hizi jijini Mwanza.

Kama kawaida, miangaikoni watu wanahustle.Hivi ndivyo jiji la Mwanza linavyoonekana siku za kazi za wiki.

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comments'.

No comments:

Post a Comment