Saturday, May 14, 2011

KOCHA WA STARS JAN POULSEN NA KOCHA WA BAFANA BAFANA PITSO MOSIMANE WAZUNGUMZIA MECHI YA LEO:

 Kocha Jan Poulsen wa Taifa Stars (Kulia), akifafanua jambo fulani kuhusu mchezo wao wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Bafana Bafana ya Afrika Kusini utakaofanyika leo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Kushoto ni kocha wa Bafana Bafana , Pitso Mosimane na kiongozi wa msafara wa timu hiyo, Moses Tshabalala.
Kocha wa Bafana Bafana, Pitso Mosimane (Kushoto), Moses Tshabalala (katikati) na Poulsen.
Habari zaidi Bonyeza Hapa

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click Post comment.

No comments:

Post a Comment