Saturday, May 14, 2011

MARY JOEL - VODACOM MISS ARUSHA CITY CENTER MPYA:

Mary Joel (katikati) awa mshindi mpya wa Vodacom Miss Arusha Centre City 2011 katika ngazi ya kitongoji kanda ya ya kaskazini. Kulia ni mshindi wa pili, Neema Edward pamoja na Stacey Alfred. Shindano lilifanyika katika ukumbi wa Tripple A, Arusha.

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click Post comment

No comments:

Post a Comment