Wednesday, May 4, 2011
Full Time: Manchester United 4-1 Schalke 04 (Agg: Man U 6-1 Schalke 04) at Old Trafford tonight:
Magoli 2 ya nyongeza yaliyopatika katika dakika 74 na dakika 78 yote yakifungwa na Anderson yametosha kuipa tiketi Man U ya kuelekea Wimbley kwa ushindi mnono wa jumla ya magoli 4-1 yaliyopatikana usiku huu katika uwanja wa The Old Trafford na kufanya (Aggregate: Man United 6-1 Schalke 04). Kwa matokeo hayo, Man U imefika fainali na kwenda kukutana na Barcelona katika dimba la Wembley tarehe 28 May 2011.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment