Wednesday, May 4, 2011
Live Updates: Man U v Schalke 04 at Old Trafford (Agg: Man U 4-1 Schalke 04)
Zimebakia dakika zipatazo kama 10 tu mpaka sasa mchezo kumalizika pale Old Trafford. Manchester United inaongoza magoli 2-1 (Aggregate Man U 4-1Schalke 04). Magoli yote yamepatikana katika kipindi cha kwanza ambapo Man U ilitangulia kufunga mabao katika dakika 26 (Antonio Valencia) na dakika 31 (Garron Gibson) na bao pekee la Schalke 04 lilifungwa dakika 34 kupitia Jose Manuel Jurado.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment