Monday, May 23, 2011

PICHA ZAIDI KATIKA MECHI KATI YA MOVIE STARS NA MWANZA STARS:


 
Hapa waigizaji walikuwa wanafika uwanjani kwa basi yao hiyo.

Wanaingia uwanjani, watu kibao.

Basi linazungushwa uwanjani.


Wanaanza kushuka.

Huyu ni Taff akiwa tayari ameshashuka.

Tino na Richie.

JB nae akishuka huku akitroti kuelekea uwanjani.


Mashosti sasa.

Mtoto mtaaaaaaamu huyu, Bi Wema Sepetu.

Aaayaaaaaahh..!!!!!

Odama na Maya

Jack Pentezel (Jack Chuz),Snura na Cate.

Mmmmh, Jack chuzi wee.


Mainda, sijui alikuwa anafanya nini hapa.

Wolper Jackline
Ileile Beeeeiiiby.


Jaramba limeanza.


Duu..!!, huyu jamaa wa katikati utadhani kalizimishwa vile.

Ben Kinyaiya na Claud.


Vikosi vya timu zote mbili.


Kikosi cha Mwanza Stars.

Ezden 'Ze Roka' katikati.

Dj Cutter.


The Match officials hao.


Kikosi cha Bongo Movie FC.

Bongo Movie FC na 'maua' yao muda mfupi kabla ya mechi kuanza.


Kabumbu limeanza.

Ushangiliaji wa aina yake, Mainda akipuliza Vuvuzela.

Bongo Movie FC wakishangilia goli lao.

Gooo gooo gooo.... (moja bila).

Kulitokea faulo fulani hivi, hivyo mchezo ukasimama kwa muda.

J Plus akitoka nje baada ya kupata mauvimu kwenye bega.

J Plus akigangwa na 'Babu'

Ni half time, kikosi cha Bongo Movie FC, magoli ni Bongo Movie 1-0 Mwanza Stars.


Kikosi cha Mwanza Stars.


G Sengo akiongea na vijana wa Mwanza Stars.

Mh.Mbunge wa Ilemela, Highness, akiwa na kikosi cha Bongo Movie FC.

Mh.Mbunge wa Ilemela, Mr.Highness, akiwa na kikosi cha Mwanza All Stars.
Mpambano huo ulikamilika kwa suluhu ya kufungana bao 1 kwa 1.

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.


No comments:

Post a Comment