Msururu wa mashabiki na wapenzi wa soka jijini mwanza wakidaka tiketi mlangoni za kwenda kushuhudia mtanange kati ya Bongo Movie Stars na Mwanza Stars. Mchezo huo ulimalizika kwa sare ya goli moja kwa moja.
Steve Nyerere na JB wakipasha.
Mashabiki wakiwa ndani wakifuatilia kandanda.
Mh. mbunge wa jimbo la Ilemela akitoa mkono wa kheri kwa kikosi cha Bongo Movie Stars.
Mh. mbunge wa Ilemela akitoa mkono wa kheri kwa kikosi cha Mwanza Stars.
Sana tu.
Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.
No comments:
Post a Comment