Tuesday, May 24, 2011

KAMPUNI YA SYMBION POWER KATIKA MCHAKATO WA KUFUA NA KUGAWA UMEME:

 Wafanyakazi wa Symbion Power wakiwa katika mazoezi wakati wa mafunzo ya utaalamu wa umeme kwenye chuo cha kampuni hiyo ya kufua umeme kutoka marekani kilichopo mkoani Morogoro kwa kushirikiana na kampuni ya Kipe.

 Tizi la kuning'inia kwenye nguzo za umeme.

Mafunzo ya kusimika nguzo za umeme.

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.

No comments:

Post a Comment