Saturday, February 16, 2013

BEAUTIFUL GIRLS LOVE BAD BOYS :



 BEAUTIFUL GIRLS LOVE BAD BOYS : 

 
Mrembo mwanamitindo wa kibelgiji,Fanny Robert Neguesha ambaye ni demu mpya wa Balotelli, akionesha alama ya moyo kuashiria mapenzi yake kwa mchizi huyo. Hiyo ilikuwa jana usiku wakati Balotelli akifunga bao lake na nne katika mechi zake tatu alizochezea AC Milan mpaka sasa. Mabao hayo ni mengi kuliko mabao yote aliyoyafunga alipokuwa na Manchester City katika nusu ya kwanza ya msimu 2012-13!

No comments:

Post a Comment