Sunday, February 17, 2013

MAKING OF A NEW MOVIE CONT....!

Tukiwa bado tumo ndani ya CF Hospital...
Yap yap yoooo. Dr.Caris kwa snapshot.
Mmmmh...! Pendeza eeh. Don Miss it out, it's a must watch movie.
Na kijana MyRosh Kaida.
Mwaidha kidogo kwa mama (Mrs Akili) kuhusu mgonjwa wake.
Alala fofofo...
Nikiwa ofisini kwangu.
Ofisi ya Dr.Caris.
Wapi kijana Kisura na Boom MIC, kijana Mahela na camera.


 
 Tukiwa tayari tumeshamaliza scene ya hospitali, tunaanza kuondoka...
 Ahh ahhha haaah..yap yap yooo.
 Usipime...
 Mawili matatu yakafuata baada ya scene kwisha.
 D Class, music producer mkali pande hizi za miamba aliyeing'arisha ngoma kali ya hip hop ya Kala "Dear God" toka kitaa cha "Rock Town Records" kwa mkubwa Hamidu, naye ndaaaniii kwa movie hii. Yaani don try to miss it out.
 Ahh kijana Dee. Hebu kidogo kwanza tuone...."Hasante mungu hii ni siku nyingine , nakuja mbele yako na kusema maneno mengine......"
 Tafuta pair yako na uipeleke kando na umwambie, na umwambie, na umwambie.. Commit a crime and I'll be defender, overpower me so that i surrender....!
 Kisuraaaa na mutoto Miry, mutoto ya Furaha.
 "Don bring me jokes i'll cause a scene in no time, where's my money..? Aah aah aahh.
 Pozi kwa pozi.
 Nikisort out some matters.
 Sorted..
 MyRosh Kaida, another movie star, msubirie kwa hamu ndani humu...

 Go kijana Go..
 Set Camera..
 Kazi ianze..
 Na D Class..



Ile ile baaabu.
Sana tu. 

2 comments:

  1. Dr utapasuka naona kitambi ndo kimechanganya.

    ReplyDelete
  2. Kitambi muhimu sana baaabu Shaffy ili uoneshe ukubwa wako kwa wasokujua baaabu.

    ReplyDelete