Thursday, December 27, 2012

BONANZA OYEEE; MICHEZO OYEEE:

Risala ya Bonanza ikisomwa.

Watu (wanamichezo) wakiwa makini kusikiliza risala.

Tulianza na aerobics, kama kawaida yetu.
Mmmhh...eenheee.
Hapo sasa.
Get Cloooose, close to the perfection.
Yap..

Kuteta pia ipo..
Wako mstari wa mbele katika michezo.

Tuko pamoja..


 Dee.
Mmmhh, hapa sijui ilikuwaje.
Kazi kwenu
Juu juu


Tafuta pair yako.
Kandanda a.k.a Soccer
Golikipa shupavu.
High table, tayari kwa kutoa zawadi
Kamata medali yako mtoto..
Nawe pia..
Kaka Mziray akivishwa medali.

 


Ahh Brazaa, pata pata wewe.
Mama akikabidhiwa zawadi kutoka kamati ya michezo
Raba za kutrotia.
Track.
Neno la mwisho kutoka kwa mama kuhusu michezo.
Timu ya wanamichezo waliopata medali mbalimbali.
Keki ikikatwa na mama.
Mama I akilishwa keki
Zamu ya mama II naye kulishwa keki.
Ahaaa...Kijana nikilishwa keki.
Group Photo I
Group Photo II.
Hivyo ndivyo tulivyomalizia bonanza letu lililofanyika tarehe 22 Dec 2012 katika viwanja vya BOT Club, Pasiansi-Mwanza.

No comments:

Post a Comment