Monday, August 13, 2012

MAMIA YA WATU WALIVYOJITOKEZA KUMPOKEA DR. ULIMBOKA:

 Wanaharakati wakipaza sauti wakati wa mapokezi ya Ulimboka.
  Dk. Ulimboka akiwasili jana kutoka nchini Afrika ya Kusini alikokwenda kwa matibabu.
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madakatari Tanzania, Dk. Steven Ulimboka akipata mapokezi makubwa wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo, akitokea nchini Afrika Kusini kwa matibabu baada ya kutekwa na kuteswa na watu wasiojulikana. Picha ya chini ikimuonesha Dk. Ulimboka akiwa katika hali mbaya baada ya kuokotwa katika msitu wa Mabwepande, Juni 27.
 
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madakatari Tanzania, Dk. Steven Ulimboka akiwa ameshika ua mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana, akitokea nchini Afrika Kusini kwa matibabu baada ya kutekwa na kuteswa na watu wasiojulikana.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madakatari Tanzania, Dk. Steven Ulimboka akiwa ameshika ua mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana, akitokea nchini Afrika Kusini kwa matibabu

 
Baadhi ya Wanaharakati pamoja na Madaktari wakilisukuma gari alilokuwa amepanda Dk Ulimboka mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
 Dk. Ulimboka akiwa katika hali mbaya baada ya kuokotwa katika msitu wa Mabwepande, Juni 27.
DK. Steven Ulimboka, akiwa mahututi wodini.Picha Zote na Mdau Francis Dande.

No comments:

Post a Comment