Sunday, June 3, 2012

BATA WA MAZIWA:

Wachezaji, Jermaine Penant wa Stoke City na Aaron Lennon wa Tottenham Hotspur, wakiwa na 'mtoto'
Lauren Goodger ambaye alishawahi kutangaza series 1 ya kipindi maarufu cha The Only Way Is Essex kinachorushwa na luninga ya ITV2 ya Uingereza. Kipindi hicho cha watu wa ukweli wanaoshi maisha flan flan hivi, "real people in modified situations" kinachukuliwa kama jibu la vipindi viwili vya Marekani vya The hills na Jersey Show vya MTV. Picha hii ilipigwa katika kiwanja cha Buddha Bar...Marbella, nchini Hispania.





















No comments:

Post a Comment