Tuesday, May 1, 2012

SHOO YA DIAMOND DAR LIVE NI BALAAA:

...mmoja wa wasanii wanaounda kundi la Pah One.
.....licha ya kimvua, burudani ziliendelea kama kawa...Michael Jackson wa Bongo akifanya vitu vyake.
.....msanii Tumbulo akiingia kistaili jukwaani.
 Mwanamuziki Diamond Akishukuru baada ya kutua ukumbi wa Dar Live.
 Hapa akionyesha ishara ya kuwasalimia mashabiki wake kwa heshima.
 Mwanamuziki Diamond akiwa kwenye helikopta tayari kuelekea Dar Live.
 
Mwanamuziki Diamond akiingia ndani ya ukumbi wa DARLIVE muda mfupi baada ya kutua kweanye helikopta.
Mwanamuziki Diamond  anayevuma kwa sasa hapa nchini  kifanya onyesho zito na la kukata na shoka mbele ya mashabiki wake  kwenye ukumbi wa Dar Live, onyesho hilo  lililofanyika jana siku ya jumapili na kuvuta hisia za mashabiki wake lukuki waliojitokeza kumshuhudia akishuka na helikopta kama ilivyokuwa imetangazwa na waandaji wa onyesho hilo.
...ilikuwa ni shoo iliyopandisha mzuka wa mashabiki kupita kawaida.
Katika shoo zote za Dar Live, Diamond amevunja rekodi ya idadi ya mashabiki
...Diamond Full mzuka!
 Wacheza shoo wake wakifanya vitu vyao jukwaani.
....Timbulo akiwa juu ya jukwaa..
...licha ya mvua kunyesha wakati fulani, mashabiki hawakukubali kuondoka bila kumuona Diamond!
Timbulo akifanya vitu na dancers wake.
 
...hii ndivyo ilivyokuwa Dar Live usiku wa kuakia leo.Picha na Habari na Richard Bukos, Issa Mnally/GPL.

No comments:

Post a Comment