Tuesday, May 1, 2012

JAMANI HII MOVIE SASA....LLOOOOO!!!!

La wapi hilooo, semeni mnaojua sasa. Daah, wazeiya acheni basi.
Ukipiga picha lazima ujitazame kwanza, umenogaje. Kwenye mashine za ku-edit.
Good good.
Sweet Love...love...love.
Eeeeh... Hii ilikuwa safari ya kuelekea visiwa vya ukerewe (UK) vya hapa hapa jijini Mwanza.
Ila kwenye movie tu kwingineko hapana.
Yaap.
Na July Tax-The Director ndani ya boti tukitokea feri ya Kamanga kuelekea visiwa vya Ukerewe kwa ajili ya muendelezo wa movie yetu.
Yaaman Rastaaaa.
Three of them, get them all in one movie. Stay tuuuuuuneeed.
Yes, japo natokea Mbinga mapenzi yalipo.......
Change change costume hizo. We raedy for action.
Wapi mguuu.
Kamili gado.
Nani kasema location huwa hawali, msosi kama kawa. Ni kiepe time.
My one and only Son, the next movie star after his father, Caris.  Naye alikuwepo location akizingua zingua, cheki alivyo si mwoga wa camera.

NB: Kaa tayari kuona yaliyojiri visiwani humo. Tulifikia wapi, tulifanya nini na ni kipi hasa kilichotupeleka visiwani humo katika movie hii.

2 comments: