Monday, April 2, 2012

SHAMRA SHAMRA ZA USHINDI WA NASSARI JOSHUA (CHADEMA)-ARUMERU MASHARIKI:

Mbunge Mteule wa Arumeru Mashariki(CHADEMA), Joshua Nasari akiwa na Nyerere wakati wa shamra shamra baada ya kukabidhiwa hati yake ya ushindi leo.
Kuelekea mkutanoni.
Lema kama Rais Arusha, akiwasili mkutanoni.
Mbowe akihutubia mkutanoni.
Ni nani...Suguuuuu, mistari kama kawa. Mbunge wa Mbeya mjini, Mh Joseph Mbilinyi, akighani mashairi (Akichana) katika mkutano wa kuwashukuru wananchi wa Arumeru Mashariki kwa kumchagua Nassari Joshua katika kinyang'anyiro cha ubunge wa jimbo hilo.

Taswira mbalimbali za Umati Mkubwa na Wafuasi wa CHADEMA ukiwa umekusanyiaka shule ya msingi leganga hivi sasa tayari kabisa kwa mkutano mkubwa wa kuwashukuru Wanaarumeru Kwa Kuichagua Chadema na kumpa ushindi Mgombea wa Ubunge jimbo la Arumeru Mashariki(CHADEMA)Joshua Nassari aliyekua anachuana Vikali na Mgombea wa CCM Sioi Sumari Kwenye Uchaguzi uliofanyika Jana.Picha zote na Mwandishi wetu Aliyepo Eneo la Tukio sasa

No comments:

Post a Comment