Saturday, March 3, 2012

SIMBA TV YAZINDULIWA JIJINI DAR:

Mgeni rasmi, waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu-Tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI), Kassim Majaliwa, akimlisha keki mwenyekiti wa Simba Sc, Alhaji Aden Rage huku wageni waalikwa meza kuu wakishuhudia tukio hilo. 
Keki hiyo.

Keki ikikatwa na mgeni rasmi.
Mgeni rasmi akibonyeza kitufe cha Laptop kama ishara ya kuzindua rasmi kipindi cha Simba Tv kitakachokuwa kinarushwa na kituo cha runinga cha Clouds. Hafla hiyo imefanyika katika jengo la Quality Center ukumbi wa Cleopatra, jijini Dar es salaam.

Shampeni pia zilikuwepo, chezea Simba wewe.

No comments:

Post a Comment