Wednesday, March 7, 2012

MUSIC ACADEMY YAWAPIGA MSASA WANAFUNZI WAKE:

Mzee kalala akimfundisha Emannuel namna ya kucharaza gitaa.
Wana academia wakitafakari na kutunga mistari ya wimbo wao wenyewe.
Meneja wa Urban Pulse Nocha na Mzee kalala wakiwasikiliza wana academia jinsi wanavyo imba (hawapo pichani).
Wana academia wakiimba wimbo walioutunga wenyewe.

Mazoezi ya kucheza yakieendelea kutoka kwa Dansa wa Twanga Pepeta  Mandela alievaa t-shirt ya kijani.

Mzee kalala akiwapa shule ya mziki wana academia.

No comments:

Post a Comment