Saturday, March 24, 2012

MKUU WA WILAYA YA LIWALE, VICTOR PAUL CHIWILE AFARIKI DUNIA GHAFLA:

Mkuu wa Wilaya ya Liwale, Victor Paul Chiwile
 
Mkuu wa Wilaya ya Liwale, Victor Paul Chiwile amefariki ghafla jana katika Hoteli ya Vision mjini Lindi. Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Ludovick Mwananzila amesema leo kuwa mwili wa marehemu Chiwile utapelekwa katika Kanisa la Anglikana Lindi ili wananchi wapate wasaa wa kumuaga kabla ya kusafirishwa kesho kwenda kwao Kibaha kwa mazishi. Sababu za kifo chake mpaka sasa bado hakijajulikana.

No comments:

Post a Comment