Jumapili ya tar 18 March 2012. kuanzia saa 9 Alasiri, tutakuwa Mlimani City ndani ya duka la Shear Illusions
Kutakuwa na shughuli ya ku sign CD zitakazokuwa zinauzwa
Zoezi hilo ni la saa nzima na nusu tu (9:00 - 10:30 jioni)
Kwa sasa CD ya album YA 5 itakuwa inapatikana dukani hapo tu (SHEAR ILLUSIONS), tutawafahamisha zaidi sehemu zingine mapema iwezekanavyo
Support cha kwako, nunua original copy tu.
CD ina jumla ya nyimbo 25
IJUMAA YA LEO: 16 March 2012
Lady JayDee na Machozi Band ndani ya Nyumbani Lounge
Masaa mawili non-stop ya LADY JAYDEE jukwaani(20 SoNGS)
Masaa mengine yooote yanayobaki ni ya Machozi Band
No comments:
Post a Comment