Monday, February 6, 2012

MAZOEZINI KIDOGO:

Tulianza na Jogging.
Jogging ikiendelea.
Mazoezi ya viungo yakaanza.

 Kaka mzazi akiwa kama Instructor wetu.
Aaaha, wapi Magetaaaa.
 Popoz.
 Mapumziko kidogo.
Ze DressCode, Caris nikipata upepo.
Sir Nyenga.
Mama yetu, Mpelwa. 
 Soka ya kina mama, chezea kina mama wewe.
Twiga Stars walikuja hapa kupata maujanja na maufundi ya kuwachapa Namibia 5-2. Balaaaaa.
Tukahamia kwenye Basketball. 
 Snap ya pamoja baada ya michezo yote kufanyakika.
Hallooooow, tulienjoy sana guys, Pole kwa wale wote mliokosa jumamosi hii ya tarehe 4.Feb.2012. Infact We' going major.

No comments:

Post a Comment