Saturday, February 18, 2012

GUYS; MASHABIKI NA WAPENZI WA SOKA WAMESHAANZA KUJIVUTA TAIFA MPYA KWA MECHI YA YANGA NA ZAMALECK:

Ni yeye, anajiita JLO - Tz, The UNSTOPABLE, Sintah. Akielekea Taifa mpya kwa mechi kati ya Yanga na Zamaleck ya Misri. 
Kwa siti, wamepooooziiii.
I love it Lol...
Haters (Kiushabiki) pia hawakosekani, FA alikuwa na haya ya kusema kuhusiana na mechi ya leo. "Sikuwa na mpango wa kwenda uwanjani Jumamosi lakini nilipokumbuka Yanga walivyofikia hatua mpaka kujifunza kilingala ili waishangalie TP Mazembe kwa ufanisi kipindi inacheza na Simba, nimeamua na kutafuta jezi ya Zamalek kabisa..Yanga, NAKUJA KUWASHANGILIA WAARABU JUMAMOSI...nuneni salama..."

Na shabiki mwingine alimsapoti FA kama hivi; "Kama umekosa jezi ya zamaleck vaa hata msuli.....twende taifa...I HATE YANGA FC crazly". 

No comments:

Post a Comment