Wednesday, February 29, 2012

CHAMAKI NCHANGA TOKA MTWARA:

Mishkaki ya Samaki Nchanga ikiwa imetungwa na ikatungika kama inavyoonekana katika  picha.
Mtaalamu wa utegaji wa mboga rasmi katika kijiji cha Mtalikachawa mkoani Mtwara akimezea mate mshkaki wa panya a.k.a mboga rasmi a.k.a Samaki nchanga kama anavyoonyesha.

No comments:

Post a Comment