Monday, January 2, 2012

SHERIA NGOWI NA MANGE KIMAMBO WATOA MISAADA KWA WATOTO WANAOSUMBULIWA NA SARATANI:

Mbunifu wa Kimataifa Sheria Ngowi akigawa Maji Kwa Wagonjwa Wa saratani.
 Sheria Ngowi akimsikiliza kwa Makini Mange Kimambo akitoa Maelezo juu ya Mtoto anaesumbuliwa  na kansa ya taya.
 
 Sheria Ngowi akimjulia Hali Mtoto anaesumbuliwa na Saratani ya tumbo.
 Dk Mwele Malecela akifurahia jambo na mtoto anaesumbuliwa na saratani ya jicho
 Kiki Akicheza na mtoto anaesumbuliwa na saratani ya jicho.
Rubani Hilda Ringo Nae Alikuwepo.
Mama Mzazi wa  Mtoto anaesumbuliwa na saratani ya jicho akieleza Kwa Makini Jinsi Ugonjwa huo unavyomsumbua mwanae.
 Dk Mwele Malecela akipanga zawadi mbalimbali muda mfupi kabla ya kuanza kuzigawa kwa watoto wenye matatizo ya saratani jijini Dar es salaam.
Mama Mzazi akiwa na Mtoto wake anaesumbuliwana saratani muda mfupi baada wadau mbalimbali kutembelea hospitali ya taifa ya muhimbili na kutoa zawadi mbalimbali.Kwa picha na Maelezo zaidi bofya na Endelea.............>>

No comments:

Post a Comment