Monday, January 2, 2012

BONDIA MOHAMMED MATUMLA AMGALAZALA COSMAS CHEKA KWA POINTI:

Mohamed Matumla.
Mohamed Matumla Kushoto na Cosmas Cheka wakioneshana uwezo wa kutupa Masumbwi jana
Bondia Cosmas Cheka na Mohamed Matumla wakioneshana ufundi wa kurusha masumbwi wakati wa mchezo wao uliofanyika uwanja wa Jamuhili Morogoro jana Matumla walishinda kwa pointi.
Asha Nzoa kushoto akioneshana ufundi wa kutupa masumbwei na Salma Kihobwa.
Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Morogoro akiongea machache .
Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera akikingiana ngumi na Rais Wa PST Emanuel Mlundwa kabla ya kuanza kwa mpambano jana.
Bondia wa kike Asha Nzoa akishangilia baada ya kutangaza msindi kwa kumtwanga mpinzani wake Slma Kihobwa katika mpambano wa utangulizi kabla ya Mohamedi Matumla na Cosmas cheka awajapanda ulingoni jana katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro
Mbwana Matumla kulia akimganga bondia Mohamedi Matumla wakati wa Mpambano wake na Cosimas Cheka Mohamedi alishinda kwa point.
Bondia Rashid Matumla (kushoto) akimpa mawaidha mwanae wa kwanza Mohamed Matumla wakati wa mpambano wake na Cosmas Cheka kulia ni Mbwana Matumla akimkandakata.
Kutoka kushoto ni Rashid Matumla,Mohamedi Matumla,Mbwana Matumla na Mkwanda Matumla.picha na superdboxingcoach .

No comments:

Post a Comment