Tuesday, January 31, 2012

MGOMO WA MADAKTARI NCHINI; HALI SI NZURI HOSPITALI YA RUFAA MKOA MBEYA, NI MADAKTARI 5 TU WALIORIPOTI KATI YA 75 WALIOGOMA:

Akiongea na waandishi wa habari mkurugenzi wa Hospitali ya Rufaa Mbeya Dokta Eliuta Sanker amesema mpaka sasa ni madaktari watano 5 tu walioripoti kazini hapo kati ya madaktari 75 waliogoma.
 Mwonekano wa Hospitali ya Rufaa ya Mbeya.
Baadhi ya madaktari wakisoma matangazo ya kutaka warejee kazini.
Baadhi ya wagonjwa wakiendelea kuandikiwa vyeti vya kuwaona madaktari.
 
Madaktari wakiwa wanatoka katika hospitali ya rufaa mbeya baada ya kusaini kitabu cha mahudhurio ya kuwa wamefika kazini lakini huduma hawatoi.Picha na Habari na Mbeya Yetu.

No comments:

Post a Comment