Saturday, January 14, 2012

BREAKING NEWS: MBUNGE WA VITI MAALUMU (CHADEMA), MH.REGIA MTEMA AFARIKI DUNIA:

Mbunge wa Viti Maalumu kutoka Kilombero (Chadema), Regia Mtema akiwa kwenye viwanja vya Bunge La Jamhuri Ya Muuungano wa Tanzania Enzi za Uhai Wake
Mbunge wa Viti Maalumu kutoka Kilombero (Chadema), Regia Mtema,akiwa kwenye moja ya mikutano yake enzi za uhai wake
--
Habari mbaya zilizoifikia blogu hii ni kwamba Mbunge wa Viti Maalumu kutoka Kilombero (Chadema), Regia Mtema,  amefariki dunia leo muda mfupi uliopita, katika ajali ya gari iliyotokea maeneo ya Ruvu. Taarifa zaidi zitafuata baadaye. Mungu amlaze pema peponi!

No comments:

Post a Comment