Saturday, January 14, 2012

MAMBO YA CHARITY VINTAGE SALE YANAVYOENDELEA HIVI SASA PALE KIKI'S FASHION:


Mange akiwa na Moja ya vyombo vitatavyouzwa leo.
 
 
 Mrembo akionyesdha nguo mablimbali z ukweli zinazouzwa ndani ya Mwamvita Makamba Vintage Sale Leo Jijini Dar es Salaam
 Jacq, Flaviana Matata na Mwamvita Makamba wakiweka Vitu sawa kabisa kwa ajili ya charity Vintage sale inayoendelea hivi sasa jijini Dar es Salaam.
 Flaviana Matata akiweka vivalo vizuri kabisa tayari kwa kupigwa sale Kwenye Duka la Kiki's Fashion Lilopo Msasani Karibu na Eagen Petrol Station na Hospitali ya TMJ.
 
 Kiki na Shamim Wakiweka mambo sawa.
Mwamvita Makamba akichekicheki vituu muda mfupi kabla ya sale sala ya vintage  inayoendelea hivi sasa kwenye duka la kiki's fashion Jijini Dar es Salaam,.Picha Zote na Dada Mange.

No comments:

Post a Comment