Friday, December 9, 2011

TIMU YA ASANTE KOTOKO YAWASILI NCHINI KUKABILIANA NA TIMU YA SIMBA SC HAPO KESHO:

Wachezaji wa timu ya Asante Kotoko ya Ghana wakiwasili nchini tayari kwa mchezo wao wa kesho dhidi ya timu ya Simba SC kwenye uwanja wa Taifa. Mchezo ni maalumu kwa ajili sherehe ya kuadhimisha miaka hamsini ya uhuru.

No comments:

Post a Comment