Thursday, December 15, 2011

SIO SIRI; HAPA NIMEGUSWA DAAAH..!!!, ANAHITAJI ZAIDI YA MILIONI MOJA AFANYIWE UPASUAJI:

Mkazi wa Chadulu B katika manispaa ya Dodoma, Mathew Mbasaga (44) pichani anaomba wasamaria wema kumchangia shilingi milioni moja kwa ajili ya matibabu ya upasuaji wa tezi iliyoota shavuni kwake utakaofanyika katika hospitali ya rufaa ya muhimbili. Habari zaidi: Ingia hapa:, Au piga simu 0788 786076, 0757 213673. 

No comments:

Post a Comment