
Ile picha iliyokuwa ikisubiliwa kwa hamu na wadau wengi wa tasnia sasa yaingia mtaani kwa kishindo na kutingisha soko mashabiki pateni nakala halisi muone kipaji cha Steve Nyerere serekali yetu ya chama cha mapinduzi bado tunahitaji misaada mingi sana kutoka kwenu tuna picha nyingi tunataka kucheza lakini tunakwamishwa na baadhi ya vifaa kama mahakama mavazi ya polisi n.k vijana sisi tumeisaidia serekali kwa kujiajili wenyewe tupeni sapoti basi.









Picha ya kumbukumbu.
No comments:
Post a Comment