Tuesday, December 13, 2011

MTANGAZAJI WA STAR TV, FATMA SHEMWETA, HAPPY BIRTHDAY CSTA:


Huu ndiyo Mkate wa nakshi ya sukari wa Fatma Shemweta katika sherehe ya siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika ukumbi wa VIP The New Stone Club Mwanza.Mtangazaji wa Star Tv Fatma Shemweta (R) na shosti wake The Platnum (L).

Picha zaidi tembelea
www.jipanguse.blogspot.com Kitu cha Dance' pale kati.ChiazZZZzzz!!!ZE MilipukozZZZz!!Kutoshea idadi keki ilikatwa 'mapande makumi mawili na saba'.
Meneja wa The New Stone Club, Dj Ally Coco naye alionja utamu wa keki.
Mc wa shughuli alikuwa na mikogo kinomanoma, na hili ndilo pozi la kukabidhi mzigo.
Safu ya mashosti...The Crew na Sahara Communication.Mtoto akipokea zawadi spesheli.Platinum na shukurani kwa mtoto.The Big Top Ten akilishwa keki.Keki kwa dada.Tamu ya mkate wa sukari kwa Mamaa G.To the Mc Ray.To the shosti.Fatma akilishwa keki na Beste'.




No comments:

Post a Comment