Monday, December 19, 2011

CHADEMA WAENDESHA MAFUNZO YA SHERIA YA KATIBA MPYA JIJINI DAR ES SALAAM:

Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa akizungumza kwenye Mkutano huo jana
 Mbunge wa Ubungo -Chadema Mheshimiwa John Mnyika akiweka mambo sawa kwenye mkutano huo
Mbunge wa Ubungo -Chadema Mheshimiwa John Mnyika akiongea kwenye mkutano huo,Kulia ni Katibu Mkuu -Chadema Dk Wilbrod Slaa
 Mbunge wa Kawe-Chadema Mheshimiwa Halima Mdee akiwa meza kuu muda mfupi kabla ya kuchangia mada kwenye kikao hicho Jana
Katibu Mkuu wa Chadema  Dk.Wilbrod Slaa akiteta jambo na Mbunge wa Kawe-Chadema Mheshimiwa Halima  na Mdee Meza kuu wakati wa mkutano wao jana
Katibu Mkuu-Chadema Dk.Wilbrod Slaa akisikiliza mada inayotolewa na Halima Mdee
Mh.Grace Kiwelu na baadhi ya viongozi wa Chadema
Baadhi ya viongozi wa chadema Dar es salaam wakifuatilia mkutano wa kuelimisha umma juu ya mapungufu ya sheria ya katiba mpya. mikutano imefanyika nchi nzima sasa
Jana kwenye ukumbi wa Kiramuu Mbezi beach high school jijini Dar es Salaam, viongozi wote wa chadema wanapata mafunzo juu ya ubovu wa sheria ya katiba mpya.

No comments:

Post a Comment