Thursday, November 10, 2011

VITUKO BARABARANI; JAMAL BAKHRESSA VS WAANDISHI WA HABARI:


Jamal Bakhresa akitumia helmeti kuwakung'uta waandishi wa habari waliodaiwa kumpiga picha yeye na mwendesha pikipiki mwenzake walipogongana katika Barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam leo mchana. Anayejaribu kumzuia ni Mpiga Picha Mkuu wa gazeti la Jambo Leo, Richard Mwaikenda ambaye alipigwa na helmeti hiyo kichwani.
 Jamal Bakhresa akitumia helmeti kuwakung'uta waandishi wa habari waliodaiwa kumpiga picha yeye na mwendesha pikipiki mwenzake walipogongana katika Barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment