Shoka likiwa limenasia kichwani.
Habari zilizoletwa na mdau wa blog hii hivi punde zinasema Bw Mussa mlinzi (pichani) ambaye alipigwa shoka kichwani nyumbani kwa Bw Joseph Mwakyusa huko Tabata jijini Dar es salaaam na Majambazi amefariki dunia asubuhi ya leo hospitali ya taifa ya muhimbili Jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment