Saturday, November 12, 2011

NI SIKU YA NNE LEO TABORA YAKUMBWA NA UHABA WA MAFUTA:

Uhaba wa mafuta katika mkoa wa Tabora.Hivi ndivyo hali ilivyo katika pita pita za Latest news Tz na kujionea mstari mrefu watu wakisubiri kupata huduma ya mafuta.Hali hii ilianza kama siku nne zilizopita na kila siku kituo kimoja kinatoa huduma hiyo.

No comments:

Post a Comment