Sunday, November 6, 2011

MAANDALIZI YA MOVIE MPYA KUTOKA RJ COMPANY; MOVIE INAITWA "THE SHELL":

"Kama nilivyowaambia hapo mwanzo kuwa dada Johari anakuja kwa kasi ya ajabu sasa wewe kaa tayari kushuhudia mambo hayo nadhani wadau mtafurahia mzigo huu maana huko tofauti sana na sinema zote nilizowai kuzitengeneza ndani ya kampuni yangu ya RJ COMPANY TZ LTD ni filamu ya kutisha na pia tumeonyesha maisha ya zamani kama miaka 70 iliyopita walisema hatuwezi kuzicheza hizo sinema lakini naweza sema kuwa tumethubutu kufanya hivyo nisiongee sana ngoja mzigo utoke....." Alisema Ray The Greatest, mkurugenzi mkuu wa RJ Company Tz Ltd.
Huyu ni kijana wangu mpya mwenye tishirt ya njano anaitwa Takesh Edoward kafanya mambo makubwa katika upande wa effect, kuugeuza mchana kuwa usiku watu kugeuka kuwa wa ajabu kafanya mambo makubwa sana mtajionea wenyewe.
Watu kazini.
Vijana walijitahidi sana kujibadilisha kuwa watu wa miaka hiyoooooo Johari akiwa pamoja na kijana wake Juma Chikoka.
Wenyewe mtasema cheki pozi ilo la zamani.
Ushawaona askari wa zamani? walikuwa wanavaa hivi...

Msungu na Johari ndani vespa huyu jamaaa alikuwa anaendesha pikipiki kwa mbwembwe sana yani si mzigo wa kuhukosa.
On Set.
Vijana wakiwa katika moja ya scene kali sana.
Ilo ni pozi tu .
Picha ya pamoja na muongozaji wake wa mzigo huo wa THE SHELL.
Watu huwa wanajaa sana kushangaa watu wanavyofanya kazi kiukweli wanasumbuaga sana katika swala zima la utulivu.
Farid Uwezo cameraman wangu katika picha ya kumbukumbu.
Waaaaaacha weeeeeeeeeeee.
Hatari pale mwaalifu anapokamatwa.

No comments:

Post a Comment