Wednesday, November 9, 2011

DR. SLAA NA TUNDU LISSU WAFIKISHWA KIZIMABNI:

Katibu mkuu wa CHADEMA, Dk Wilbroad Slaa, na mbunge wa Singida Mashariki, Mh Tundu Lissu wakiwa kizimbani leo jijini Arusha.

Katibu mkuu wa Chadema, Dk Wilbroad Slaa na mbunge wa Singida Mashariki, Mh Tundu Lissu pamoja na wafuasi wao kadhaa wamepandishwa katika mahakama ya Hakimu Mkaazi Arusha kwa kutuhumiwa kufanya mkusanyiko wa watu kinyume na sheria. Mbali na mashitaka hayo, Dk Slaa anakabiliwa na shitaka lake pekee la kudahiwa kutoa maneno yenye uchochezi akiwa katika mkutano huo wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya NMC.

Mbele ya hakimu wa mahakama hiyo, Devotha Kamuzora, mwendesha mashitaka wa serikali,

No comments:

Post a Comment