Thursday, November 17, 2011

DK SALIM AHMED SALIM, JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA NA DK WILBROAD SLAA WAKITETA JAMBO:

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Taasisi wa Mwalimu Nyerere, Salim Ahmed Salim, (kushoto) na Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati) wakiteta jambo na Katibu Mkuu wa Chama cha (CHADEMA) Willbroad Slaa, nje ya ukumbi, wakati Mdahalo wa Nafasi ya Umuhimu wa Katiba katika Maisha ya Watanzania, uliofunguliwa leo Novemba 17, na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Mohammed Gharib Bilal, katika Jumba la Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi ya Makamu Wa Rais.

No comments:

Post a Comment