Wednesday, September 7, 2011

WAREMBO WA VODACOM MISS TANZANIA WALAMBA DOLA ZA KIMAREKANI PAMOJA NA UDHAMINI WA KUIGIZA FILAMU KUTOKA KWA KAMPUNI YA PAPAZI ENTERTAINMENT:

Mkurugenzi wa Papazi, Hans Zakaria (Kulia) na maofisa wengine wa Papazi wakiwa na warembo washindi walipokabidhiwa vitita vyao vya dola dola.
Warembo wakionesha dola dola zao walizozipokea kutoka kwa kampuni ya Papazi baada ya kushinda. Kutoka kushoto ni Christine Mwegoha (Dola 200), Zubeda Seif (Dola 1000) na Husna Maulid. Warembo hawa pia watafanya kazi na kampuni ya Papazi Entertainment & Promotion katika uchezaji wa filamu.
Husna Maulid akionesha makali yake katika uchezaji wa filamu, hapa akiigiza kama mtu mwenye machungu.
 
Mshiriki mwingine wa Vodacom miss Tanzania, Glory Lory, akiigiza na Yusuph Mlela.
Vodacom miss Tanzania Top Model, Mwajabu Juma (Kushoto) akijibizana na Princess Mashonobo katika kipande chao.
Mrembo Zubeda Seif aliyejinyakulia kitita cha dola 1000 akimnanga mwigizaji nguli wa kike, Jacquline Wolper.

No comments:

Post a Comment