Tuesday, September 6, 2011

MGOMBEA UBUNGE WA JIMBO LA IGUNGA KWA TIKETI YA CHAMA CHA UMD AKITOKA KUCHUKUA FOMU:

Mgombea ubunge kwa tiketi ya UMD, Ndegeya Lazaro akitoka kuchukua fomu ya kuwania nafasi hiyo kwa baiskeli katika ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Igunga, mkoani Tabora jana. Uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika jimboni humo hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment