Monday, September 26, 2011

ALIPOKUWA ANAJARIBU KUTOROKA MAHAKAMANI:

Askari polisi wakimdhibiti Bw Mohamedi nditi (katikati) ili asikimbie baada ya jaribio lake la kutaka kutoroka chini ya ulinzi wa polisi hao kushindikana jana mbele ya mahakama ya mkoa Ruvuma.
 
Askari akimpeleka ndani ya chumba cha mahakama Bw Mohamed Nditi kufuatia kutaka kutoroka chini ya ulinzi katika mahakama ya mkoa Ruvuma kufuatia kukabiliwa na tuhuma za kuvunja na kuiba.

Hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya mkoa wa Ruvuma, Batisita muhelela, kushoto akimsilikiza askari polisi aliyefahamika kwa jina moja la koplo Bryton, kulia baada ya polisi kumkamata tena Bw Mohamed nditi kufuatia kufutiwa mashitaka yaliyokuwa yakimkabili mahamani hapo.

No comments:

Post a Comment