Monday, August 15, 2011

SIMBA VS YANGA;VIINGILIO VYATAJWA LEO - MECHI YA NGAO YA JAMII:


Viingilio vya mechi ya ngao ya jamii (Community shield) kati ya Simba na Yanga  itakayochezwa August 17 2011 kuanzia saa 2.00 usiku katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam vyatajwa leo hii (August 15 2011):

Viti vya rangi ya bluu Tsh.5,000/=,
Viti vya rangi ya kijani Tsh.7,000/=,
Viti vya rangi ya chungwa Tsh. 10,000/=,
VIP C Tsh. 20,000/=,
VIP B Tsh. 25,000/=,
VIP A Tsh. 50,000/=.

Aidha, Tiketi zimeanza kuuzwa leo mchana katika vituo vyote vya mafuta vya Big Bon jijini Dar es salaam na baadhi ya vituo vya mafuta vya Oilcom na TSN Supermarkets.

No comments:

Post a Comment