Tuesday, August 9, 2011

SAM LOCO EFE, STAR WA NOLLYWOOD, AFARIKI DUNIA:


Uncle Sam enzi za uhai wake.

Muigizaji mkongwe na mchekeshaji wa siku nyingi wa Nigeria SAM LOCO EFE ambaye mara nyingi alikuwa akiigiza na AKI na UKWA,amefariki akiwa hotelini chumbani kwake alipokuwa ameweka kambi kwa ajili ya shooting ya movie yake mpya, Sam atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa wa sanaa yake Nollywood.Wasanii wengi wa Nigeria walizoea kumwita uncle Sam.

Moja kati ya filamu nyingi alizowahi kucheza enzi za uhai wake.

No comments:

Post a Comment