Sunday, August 28, 2011

RJ COMPANY YAJA NA MUVI MPYA; "UNPREDICTABLE":

The Greatest kama anavyojiita mwenyewe akiwa mzigoni na Sabrina, cast mpya kabisa katika industry hii ya Bongo Movie, wakiandaa muvi mpya itakayoitwa "Unpredictable".

Sabrian On set.


Ray akiwa na Otilia Joseph.


Picha kwa juu.


Ubora wa picha unapimwa hapa bana, sikia wewe kijana wewe..??




MaCamera na maLight yote hayo halafu picha itoke mbovu, wee, nani kasema.

Cameraman wa kike anitwa Lina Khamis.









Watu kazini.

No comments:

Post a Comment