Tuesday, August 16, 2011

MZUNGUKA DUNIA KWA KUTUMIA BAISKELI ATUA BONGO:

Mzunguka dunia kwa kutumia baiskeli, Heinz Allgaier, akiingia katika hotel ya Southern Sun jijini Dar es salaam leo.
Heinz Allgaier akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani) katika hotel ya Southern Sun jijini Dar es salaam leo juu ya namna alivyoanza safari yake ya kuizunguka dunia kwa baiskeli mpaka hapo alipofikia.

No comments:

Post a Comment