Kama kawaida, keki hapo ziko mbili moja ya mchango wake katika movie Nollywood (Keki ya kushoto) na inayofuata ni ya birthday yake kama zinavyoonekana katika picha.
The lovely couple, Mr and Mrs Richard Mofe Damijo.
Mkongwe mwingine na mmoja wa wanzilishi wa Nollywood ambaye pia ndiye mke wa muigizaji mkongwe wa Nigeria, Olu Jacob, bi Joke Silvia nae akiwakilisha katika birthday party hiyo.
Daah, jamaa huyu bana kitambo sana huyu. Anaitwa Chidi Mokeme, nae alikuwepo katika party hiyo.
Akiwa na waigizaji wenzake, akiwemo nguli, Ramsey Nouah.
Hapa akiwa na wanasiasa wenzake.
No comments:
Post a Comment