Wednesday, August 31, 2011

KILA KITU NYERERE,NYERERE NYERERE; BAADA YA FOLENI YA MAFUTA SASA NI LUKU,BONGO SI MCHEZO:



Foleni ya LUKU baada ya mgao wa mafuta.
Kama kawa, Bongo tambarale bana.
Wakaazi wa jiji la Dar es salaam wakiwa katika foleni ya kusubiria LUKU katika moja ya vituo vya utoaji wa huduma hizo pamoja na kwamba walifahamu kuwa hakuna huduma hiyo tangu siku ya jumapili kutokana na matatizo ya kiufundi ya mtandao wa mfumo wa utoaji wa LUKU Tanesco.

No comments:

Post a Comment